Shiriki nasi
Saidia watu wenye ulemavu kupata fursa ya kushiriki katika elimu na mashindano ya Qur’ani.
Changia
Skani kuchangia au tumia Lipa Namba.
- Lipa Namba
- 11904424
- Mpokeaji
- RIZIKI LULIDA FOUNDATION
Huna programu? Changia kwa simu
- Piga *150*00#Chagua 4 Lipa kwa M-Pesa > 1 Lipa kwa simu > 1 Ingiza Lipa Namba.
- Weka Lipa Namba 11904424 na kiasi cha mchango.
- Hakiki jina RIZIKI LULIDA FOUNDATION, kisha thibitisha kwa PIN yako.

Wadhamini na washirika
Wasiliana na taasisi kuzungumzia udhamini wa matukio, msaada wa vitendo na ushirikiano.
Washiriki na familia
Ungependa kushiriki katika mashindano ya Qur’ani? Wasiliana na Riziki Lulida Foundation upate taarifa kuhusu matukio yajayo, vigezo vya kushiriki, makundi ya mashindano na usajili.

Taasisi ikitoa mafuta ya kulinda ngozi na kofia katika hafla ya kuhitimu mafunzo ya ubanguaji wa korosho mkoani Lindi.
Wasiliana nasi
Tutembelee, tupigie simu au tutumie barua pepe.
